Wajibu wetu kwa jamii

Kuwekeza kwa jamii

Tunalenga kutoa mchango mzuri kwenye jamii tunazofanyia kazi.

Hii ina maana gani kwa JTI?

Tunawekeza katika programu za kijamii, kiutamaduni na mazingira na mashirika yasiyo ya kiserikali yaliyochaguliwa kwa umakini na ambayo yanaboresha ushirikishwaji wa jamii.

Hatuungi mkono watu au mashirika yasiyo ya kiserikali, au mashirika ambayo hayazingatii mwenendo wetu wa uanuwai na wa kujumuisha jamii.

Bidhaa za JTI za walaji hazipaswi kuhusishwa na programu za uwekezaji kwa jamii.

Hii ina maana gani kwangu kama mfanyakazi?

Nikishirikishwa kwenye kuchagua washirika au programu za uwekezaji kwa jamii, nafuata taratibu zilizowekwa katika Sera za JTI za Uwekezaji katika Jamii.

Nawezaje kuongeza mchango wangu?

  • Wasiliana na mratibu wa kuwekeza kwa jamiii kujua zaidi kuhusu uwekezeji kwa jamii kwenye eneo lako na jinsi unavyoweza kushiriki

Fahamu zaidi